Mazingira FM

Mazingira Fm Live

wl 109554.v2 Mazingira Fm

Breaking News

Sports

Recent Posts

View More

Friday, 21 March 2025

Diwani wa Ketare ambaye ni Mkurugenzi Radio Mazingira na atunukiwa hati ya Pongezi

11 days ago 0

 Diwani wa kata ya Ketare Mhe Mramba Simba Nyamkinda akipokea hati ya pongezi kutoka kwa mwenyekiti wa CCM Bundaviongozi hao wameonesha umoja na ushirikishanaji wa taarifa za miradi pindi inapopelekwa kwenye maeneo yao.Na Adelinus BanenwaHalmashaur...

Read More

Wednesday, 19 March 2025

13 days ago 0

 Wananchi watakiwa kuzingatia usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko19 March 2025, Maafisa afya kutoka halmashauri ya mji wa BundaKazi kubwa ya wataalamu ni kutoa elimu kwa jamii ili kudhibiti magonjwa ya milipuko kama vile kipindupindu, kichocho, miong...

Read More

Saturday, 15 March 2025

17 days ago 0

 Bunda kuadhimisha miaka minne ya Rais Samia Machi 1715 March 2025, 5:46 pmKatibu tawala wilaya ya Bunda Ndugu Salumu MtelelaMiongoni mwa maeneo yatakayoangaziwa ni pamoja na sekta mbalimbali za serikali ikiwemo Maji, Umeme, Afya, Barabara pamoja n...

Read More

Sunday, 9 March 2025

23 days ago 0

 Mbunge Ghati ahimiza ushirikiano kwa wanawakeMbunge viti maalumu mkoa wa Mara kutia kundi la wanawake Mhe Ghati ChometeMbali na kuwataka wanawake kuwa na mshikamano pia amesema ni lazima zisemwe kazi nzuri zilizofanywa na serikali awamu ya sita ch...

Read More

Thursday, 6 March 2025

26 days ago 0

 Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba akioga6 March 2025, 5:29 pmAnusurika kifo baada ya kushambuliwa na Mamba alipokwenda ziwani asubuhi, rafiki apanda juu ya mamba kunusuru ndugu yake.Na Adelinus BanenwaKijana mmoja aliyetambulika kwa ji...

Read More

Tuesday, 4 March 2025

28 days ago 0

 Mtoto Angel aliyezama kwenye rambo apatikana akiwa amefariki4 March 2025, Kaimu kamanda wa zimamoto na uokoaji mkoa wa Mara Agostino MagereMwili wa mtoto huyo umeopolewa na askari wa zimamoto na uokoaji walikuwa eneo la tukio tangu March 2, 2025 w...

Read More

Monday, 3 March 2025

29 days ago 0

 Nyamuswa yetu kwanza yadhamiria kurudisha tabasamu kijijini3 March 2025, viongozi wa serikali na baadhi ya wanachama wa kikundi cha Nyamuswa yetu kwanzaKikundi hicho kilianzishwa tangu mwaka 2021 na kilianza katika dhima ya kusaidia watu misibani ...

Read More
29 days ago 0

 Mtoto wa miaka 8 azama maji kwenye rambo wakati akichota maji3 March 2025, Angel Wilson ( 8) mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Kataryo B halmashauri ya Musoma Vijijini anatajwa kuzama kwenye rambo wakati akiteka maji.Na Adelinus Banenwa...

Read More

Sunday, 2 March 2025

month ago 0

 Onyo wafanyabiashara watakaopandisha bei bidhaa za chakula Ramadhani na kwaresma2 March 2025, Katibu tawala wilaya ya Bunda Ndugu Salumu MtelelaMara nyingi malalamiko ya wananchi yamekuwa ni kwenye bidhaa za mihogo, viazi, tambi sukari miongoni mw...

Read More
Page 1 of 6512345...65Next �Last
undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *