Mazingira FM

Mazingira Fm Live

wl 109554.v2 Mazingira Fm

Sports

Recent Posts

View More

Saturday, 26 April 2025

Kiwango cha malaria mkoa wa Mara asilimia 15

8 days ago 0

 Wito umetolewa kwa wananchi kuzingatia usafi wa mazingira na matumizi sahihi ya vyandarua ili kuepuka maambukizi ya malariaHayo yamesemwa leo na Dr Henry Lukamisa ambaye ni mratibu wa Malaria mkoa wa Mara wakati akizungumza kupitia Radio Mazingira...

Read More

Wednesday, 23 April 2025

Mwalimu jela miaka 30 kwa ubakaji, ulawiti

11 days ago 0

 Mbali na kifungo cha miaka 30 pia mahakama imeamuru kulipa fidia ya shilingi milioni 2 kwa muhanga kwa mujibu wa sheria ya uendeshaji wa makosa ya jinai 348 (1) sura ya 20 marejeo ya mwaka 2022.Na Adelinus BanenwaMahakama ya wilaya ya Bunda imemuh...

Read More

Tuesday, 22 April 2025

Radio jamii zanolewa kumulika nafasi ya wanawake uchaguzi mkuu 2025

12 days ago 0

 Picha ya pamoja washiriki wa mafunzo kwa radio jamii Tanzania yaliyotolewa na TAMWA kwa kushirikiana na TADIO jijiji DodomaLicha ya sensa ya watu na makazi ya 2022 kuonesha idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume, katika nafasi za uongozi kwa ng...

Read More

Wednesday, 16 April 2025

Nyamo-hanga azikwa leo kwao Bunda

18 days ago 0

 Ni aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa TANESCO aliyefariki kwa ajali ya gari eneo la nyatwali BundaNa Adelinus BanenwaShughuli ya mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Boniface Gissima Nyamo-hanga inaendelea nyumbani kwake Mtaa wa Migungani kata...

Read More

Friday, 21 March 2025

Diwani wa Ketare ambaye ni Mkurugenzi Radio Mazingira na atunukiwa hati ya Pongezi

month ago 0

 Diwani wa kata ya Ketare Mhe Mramba Simba Nyamkinda akipokea hati ya pongezi kutoka kwa mwenyekiti wa CCM Bundaviongozi hao wameonesha umoja na ushirikishanaji wa taarifa za miradi pindi inapopelekwa kwenye maeneo yao.Na Adelinus BanenwaHalmashaur...

Read More

Wednesday, 19 March 2025

Wananchi watakiwa kuzingatia usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko

2 months ago 0

 Wananchi watakiwa kuzingatia usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko19 March 2025, Maafisa afya kutoka halmashauri ya mji wa BundaKazi kubwa ya wataalamu ni kutoa elimu kwa jamii ili kudhibiti magonjwa ya milipuko kama vile kipindupindu, kichocho, miong...

Read More

Saturday, 15 March 2025

2 months ago 0

 Bunda kuadhimisha miaka minne ya Rais Samia Machi 1715 March 2025, 5:46 pmKatibu tawala wilaya ya Bunda Ndugu Salumu MtelelaMiongoni mwa maeneo yatakayoangaziwa ni pamoja na sekta mbalimbali za serikali ikiwemo Maji, Umeme, Afya, Barabara pamoja n...

Read More

Sunday, 9 March 2025

2 months ago 0

 Mbunge Ghati ahimiza ushirikiano kwa wanawakeMbunge viti maalumu mkoa wa Mara kutia kundi la wanawake Mhe Ghati ChometeMbali na kuwataka wanawake kuwa na mshikamano pia amesema ni lazima zisemwe kazi nzuri zilizofanywa na serikali awamu ya sita ch...

Read More

Thursday, 6 March 2025

2 months ago 0

 Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba akioga6 March 2025, 5:29 pmAnusurika kifo baada ya kushambuliwa na Mamba alipokwenda ziwani asubuhi, rafiki apanda juu ya mamba kunusuru ndugu yake.Na Adelinus BanenwaKijana mmoja aliyetambulika kwa ji...

Read More

Tuesday, 4 March 2025

2 months ago 0

 Mtoto Angel aliyezama kwenye rambo apatikana akiwa amefariki4 March 2025, Kaimu kamanda wa zimamoto na uokoaji mkoa wa Mara Agostino MagereMwili wa mtoto huyo umeopolewa na askari wa zimamoto na uokoaji walikuwa eneo la tukio tangu March 2, 2025 w...

Read More
Page 1 of 6512345...65Next �Last
undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *